Wapinzani, mkipewa uteuzi kataeni

Njaa mbaya sana. Hakuna wa kukataa hata mbowe mwenyewe hana hiyo jeuri kwa alivyopapaswa na yule dogo.
 
Njaa mbaya unataka wenzako na familia zako unataka wale nini
 
Hawa ni wale wanahakikisha wanakitambulisho tu. Na kuna wengi hawana.
 
Hivi unajua Bungeni wanalipwaje? Unafikiri wanaopambana kuingia mle hawajui wanachokitafuta? Pension yao unaijua?
 
Hivi jioni kuwa unajidhalilisha kwa kutaja wafadhili kila unapoandika. Hivi ukipata mfadhili hapo ulipo uko tayari kumpa nini
 
Nani alikwambia kwenye siasa hamna adui wa kudumu,emu haya maneno kajaribu kuwaeleza familia ya marehemu Kambona kwamba kama wanaweza wakawa na urafiki na familia ya nyerere.
 
Atakayekubali kwa kweli mie nitamshangaa sana ukiondoa yule pandikizi Kimbunga kumba kumba.
 
Hamna mbunge wa chadema atakayekubali teuzi wote wale wanamisimamo kwanza mbona itakuwa ni aibu
 
Nani alikwambia kwenye siasa hamna adui wa kudumu,emu haya maneno kajaribu kuwaeleza familia ya marehemu Kambona kwamba kama wanaweza wakawa na urafiki na familia ya nyerere.
Mkuu, ebu jaribu kutofautisha usaliti na siasa please....
Bilashaka haujaifahamu historia ya Kamboa na Nyerere
 
Hivi jioni kuwa unajidhalilisha kwa kutaja wafadhili kila unapoandika. Hivi ukipata mfadhili hapo ulipo uko tayari kumpa nini
Kiliza kweli wewe!Mlifikial mpaka hatua ya kutetea mashoga kwa kukana maamuzi yenu kuhusu mashoga ili muwafurahishe wanaowapa mikopo na misaada alafu unaonge upuuzi huu!
 
Hakuna uharimia wowote. Mmeshindwa uchaguzi, kubalini matokeo. Wananchi wamewakataa.
 
Jee mkuu @TUJITEGEMEE nawe unakubali kuonekana mpumbavu kwa kuukubali ujinga huu?
Kwa suala la kuitaka Tanzania iliyo imara yenye muelekeo wa kujiamulia mambo yake yenyewe bila kuingiliwa na wabaya wetu, niko tayari kuitwa majina ya aina yoyote! Sitaona aibu litakapowekwa mezani jambo la kuithamini, kuiimarisha na kuiwezesha Tanzania 'KUJITEGEMEA' kiuhalisia.
 
Hakuna mpinzani wa kukataaa uteuzi Tanzania hii.Chama anachotoka kikimforce kukataaa uteuzi Nina uhakika atahama chama
 
Salary Slip huu uchaguzi mzee mumeshindwa kwa haki. Mtaani kila mtu ameridhika watu tunaendelea na Maisha yetu.
Huenda kukawa na figisufigisu zimefanyika lakini kosa kubwa la Upinzani lilianzia kwenye kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura na pili kosa la pili lilikuwa Jana.Hapa mtaani Kuna watu watano licha ya kuwapitia majumbani kwao walikataaa katakata kwenda kupiga kura wakisema hata wakipiga kura Mgombea wetu hatatangazwa.

Kwa Hiyo Wapinzani tubadirike hata Kama tume sio huru lakini tuwe tunaenda kupiga kura,si ajabu hata humu jf wapo watu hawakupiga kura lkn Sasa hivi wanasikitika
 
Wakatae alaf waje kula hayo makalio yako? Heheheh njaaa Mbaya tena sahiv wengine watakuwa wanajitongozesha kwa Mkulu
 
HAKUNA uharamia uliofanyika, wapinzani walijisahau sana na wananchi wametoa yao ya moyoni. We umeona wapi mtu anakwenda kutafuta bifu bungeni ili aandikwe mitandaoni huku akisahau jukumu lililompeleka kule.
 
Teuzi itakuwa ngumu kuzikataa. You just wait and see
Njaa inatisha jamani....kingine wengi wa hawa wapuuzi (wapinzani) wana majukumu ya kutunza nyumba zao ndogo, pia wana milolongo kibao ya machangu wawatunzao.....hawawezi kukataa uongozi iwapo watachaguliwa na jiwe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…