Nafikiri ungemshauri JPM kwanza Bi Faiza.Kama nilivyowahi kuandika uzi huu, Shukran Rais Kikwete Kwa Kuwapa Darsa la Siasa Upinzani..., sasa nnawakumbusha tena upinzani kuwa warudi kwa Kikwete akawape darsa vipi wakabiliane na hali ya kisiasa inavyokwenda kwa sasa nchini. Na vipi wao kama upinzani wakabiliane nayo.
Kikwete ni muelewa na kwa kuwa sasa ni "mzee" mstaafu tena mwenye busara sana, ni wakati muafaka upinzani umuone ili wakwamuke walipokwama.
Kikwete ni kipenzi cha wote na nnauhakika upinzani mna mengi ya kujifunza kwake, msichoke nendeni mkachote.
wamekurudisha tena kwenye payroll ya LUMUMBA?Kama nilivyowahi kuandika uzi huu, Shukran Rais Kikwete Kwa Kuwapa Darsa la Siasa Upinzani..., sasa nnawakumbusha tena upinzani kuwa warudi kwa Kikwete akawape darsa vipi wakabiliane na hali ya kisiasa inavyokwenda kwa sasa nchini. Na vipi wao kama upinzani wakabiliane nayo.
Kikwete ni muelewa na kwa kuwa sasa ni "mzee" mstaafu tena mwenye busara sana, ni wakati muafaka upinzani umuone ili wakwamuke walipokwama.
Kikwete ni kipenzi cha wote na nnauhakika upinzani mna mengi ya kujifunza kwake, msichoke nendeni mkachote.
Kwa sababu ni wewe ndiye uliyeandika basi bavicha watakupinga; ingawa juzi juzi walianzisha kampeni ya kumsifia Kikwete.Kama nilivyowahi kuandika uzi huu, Shukran Rais Kikwete Kwa Kuwapa Darsa la Siasa Upinzani..., sasa nnawakumbusha tena upinzani kuwa warudi kwa Kikwete akawape darsa vipi wakabiliane na hali ya kisiasa inavyokwenda kwa sasa nchini. Na vipi wao kama upinzani wakabiliane nayo.
Kikwete ni muelewa na kwa kuwa sasa ni "mzee" mstaafu tena mwenye busara sana, ni wakati muafaka upinzani umuone ili wakwamuke walipokwama.
Kikwete ni kipenzi cha wote na nnauhakika upinzani mna mengi ya kujifunza kwake, msichoke nendeni mkachote.
Ameshasahau na Kusamehe!sasa si aibu tulivyomnanga wakati ule
haya waende mi siendiAmeshasahau na Kusamehe!
Aende kwanza Magufuli maana hata kipindi kile anaanza uongozi alidhani kuwa kipaumbele chake cha kwanza ni kuvunja nyumba za walala hoi! Kikwete akaona huko sasa ni kuleta uonevu akaenda ikulu akamwambia asitishe! Ni kweli kuwa wapinzani tumekwama ila Magufuli ndo amekwama mara elfu ya wapinzani. Hivyo anayetakiwa kwenda kwanza ni Magufuli na siyo wapinzani.Lowassa si mpinzani, alitemwa CCM akanunua kugombea Urais chadema, Mbowe kala mshiko mrefu, cheza na mchagga wewe?
mkuu huyu mama alikuja kufunika kikombe ili mwanaharamu apite lete dozi humu humu kuna mbu wengikwa sasa hoja ni hii hapa Tetesi: - ufisadi wa NSSF alhaji Dau atapona?