Wapinzani "Hawawamiss" hawa?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapinzani "Hawawamiss" hawa??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Katavi, Mar 2, 2011.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,059
  Likes Received: 3,805
  Trophy Points: 280
  Ngawaiya, Kaborou, Lamwai, Hizza. Hawa jamaa enzi zile ndio walikuwa vichwa vya upinzani, nahisi wangekuwa bado upinzani tungekuwa mbali sana......sijui nini kiliwabadili mitazamo!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Weak and Cheap politicians!
  Wa nini opportunists hao?
  Its better waliondoka mapema, coz now we are getting into serious business inayohitaji watu committed tu!
   
 3. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Huko huko CCM ndipo panawafaa hao. They are nowadays politically insignificant. Good riddance.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,059
  Likes Received: 3,805
  Trophy Points: 280
  Lakini kwa kipindi kile jamaa walionekana wanafaa kumbe walikuwa mamluki!
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,059
  Likes Received: 3,805
  Trophy Points: 280
  Hivi hakukuwa na shinikizo lolote toka chama tawala enzi hizo lililofanya hawa jamaa kuachana na upinzani??
   
 6. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 4,938
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  To me....the "that" n.c.c.r-mageuzi do re-org......i will be the number one take the card
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,838
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  kwakuwa hawakua wapinzani kamili hio walikua wanafiki na ndo mana wengi wao wakaaamua kurudi CHICHIEMU.
   
Loading...