Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Ungejua sasa hivi ndo upinzani unaimarika ungefuta hii kali yakoUpinzan kwisha kaz
Umemsikia babu Duni analalamika Chadema kila mtu ni kambale...baba na watoto wote wana sharubu na sharafaUngejua sasa hivi ndo upinzani unaimarika ungefuta hii kali yako
Maandishi kibao harafu pumba tupu!Kipindi cha uchaguzi , na miaka ya nyuma ,vyama vya upinzani na wanachama wake walilia mfumo mbovu na uzembe serikarini, upinzani ulipinga watumishi wavivu .
Ilifikia hatua watanzania kwa vinywa vyao walitamka kwa nchi ilipofikia inahitaji dikteta.....
Mungu mkubwa amesikia kilio cha watanzania , kilichoongozwa na vyama vya upinzani..
Lakini cha kushangaza na kinachonisikitisha ni viongozi wa upinzani kumpinga rais Magufuli kwa kazi njema anazotekeleza...
Upinzani huu ulipinga safari za rais nje ya nchi.... Lakini sasa baada ya Mh. Rais kupunguza hizo safari. Upinzani umegeuka kauli zake na kudai mbona rais hasafiri ughaibuni.
Rais anatumbua majipu hususani wafanyakazi wavivu ..upinzani unaamka na kupinga huku ukitetea huu ujinga..
Nawauliza enyi wapinzani wa rais hivi mnataka kuturudisha misri? Sisi tunaelekea Kaanani yaani Tanzania mpya ya magufuli.
Nahisi upinzani ulikuwa unafaidika na ufisadi enzi za mkwere.
Hakika upinzani hauaminiki tena.
Upinzani unataka kuturudisha Misri (kwenye ufisadi na ukiritimba)
Upinzani unapaswa utambue enzi za kupata wanachama kwa kupinga serikali iliyopo madarakani zimepitwa.
Jengeni hoja...
Rai yangu kwa kila mtanzania tumuombe rais magufuli kila siku.
Tanzania kwanza vyama baadae
Kweli kabisa,HII THREAD NI YA KUJAZIA SERVER
Upinzan kwisha kaz
Umepost upuuzi mtupu hapa.Kipindi cha uchaguzi , na miaka ya nyuma ,vyama vya upinzani na wanachama wake walilia mfumo mbovu na uzembe serikarini, upinzani ulipinga watumishi wavivu .
Ilifikia hatua watanzania kwa vinywa vyao walitamka kwa nchi ilipofikia inahitaji dikteta.....
Mungu mkubwa amesikia kilio cha watanzania , kilichoongozwa na vyama vya upinzani..
Lakini cha kushangaza na kinachonisikitisha ni viongozi wa upinzani kumpinga rais Magufuli kwa kazi njema anazotekeleza...
Upinzani huu ulipinga safari za rais nje ya nchi.... Lakini sasa baada ya Mh. Rais kupunguza hizo safari. Upinzani umegeuka kauli zake na kudai mbona rais hasafiri ughaibuni.
Rais anatumbua majipu hususani wafanyakazi wavivu ..upinzani unaamka na kupinga huku ukitetea huu ujinga..
Nawauliza enyi wapinzani wa rais hivi mnataka kuturudisha misri? Sisi tunaelekea Kaanani yaani Tanzania mpya ya magufuli.
Nahisi upinzani ulikuwa unafaidika na ufisadi enzi za mkwere.
Hakika upinzani hauaminiki tena.
Upinzani unataka kuturudisha Misri (kwenye ufisadi na ukiritimba)
Upinzani unapaswa utambue enzi za kupata wanachama kwa kupinga serikali iliyopo madarakani zimepitwa.
Jengeni hoja...
Rai yangu kwa kila mtanzania tumuombe rais magufuli kila siku.
Tanzania kwanza vyama baadae
Mpinzani si wewe na mzee wa msogaKwani Tanzania kuna wapinzani?
Ungekuwa na akili ungetunga taarabu maana kichwani hakuna kitu.Kweli kabisa,
Wenye fikra kama zako wote wanasadiki vivyo hivyo.
Wizi mtupu angalia usijeanza kuliakweli kabisa Upinzani hamna kabisa hasa Zanzibar!!