Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Kipindi cha uchaguzi , na miaka ya nyuma ,vyama vya upinzani na wanachama wake walilia mfumo mbovu na uzembe serikarini, upinzani ulipinga watumishi wavivu .
Ilifikia hatua watanzania kwa vinywa vyao walitamka kwa nchi ilipofikia inahitaji dikteta.....
Mungu mkubwa amesikia kilio cha watanzania , kilichoongozwa na vyama vya upinzani..
Lakini cha kushangaza na kinachonisikitisha ni viongozi wa upinzani kumpinga rais Magufuli kwa kazi njema anazotekeleza...
Upinzani huu ulipinga safari za rais nje ya nchi.... Lakini sasa baada ya Mh. Rais kupunguza hizo safari. Upinzani umegeuka kauli zake na kudai mbona rais hasafiri ughaibuni.
Rais anatumbua majipu hususani wafanyakazi wavivu ..upinzani unaamka na kupinga huku ukitetea huu ujinga..
Nawauliza enyi wapinzani wa rais hivi mnataka kuturudisha misri? Sisi tunaelekea Kaanani yaani Tanzania mpya ya magufuli.
Nahisi upinzani ulikuwa unafaidika na ufisadi enzi za mkwere.
Hakika upinzani hauaminiki tena.
Upinzani unataka kuturudisha Misri (kwenye ufisadi na ukiritimba)
Upinzani unapaswa utambue enzi za kupata wanachama kwa kupinga serikali iliyopo madarakani zimepitwa.
Jengeni hoja...
Rai yangu kwa kila mtanzania tumuombe rais magufuli kila siku.
Tanzania kwanza vyama baadae