chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,691
- 25,827
Habari wakuu..
Ni dhahiri wazi kabisa Taifa letu wananchi wasiokuwa na ajira baada ya kuhitimu masomo yao au fani mbalimbali ni wengi sana kuzidi wachache waliokuwa nayo.
Taasisi binafsi na wananchi wachache wameweza kuajiri/kujiajiri lakini cha kushangaza serikali ambayo ni tegemeo kubwa kutoa ajira wao hata hawajigusi.
Vijana wengi wapo mitaani hawana ajira baada ya kuhitimu, familia zimeingia gharama kuwasomesha lakini bado wanakula na kulala kea wazazi wao.
Mbaya zaidi hata vyama vya upinzani tulivyotegemea viwe watetezi wa hawa wahanga vimefumba macho.
Naomba kujua nini sasa ajenda ya vyama vya upinzani kwa nchi yetu?
Nisaidieni...