Na je kipato cha mwananchi wa chini ni kiasi gani?Unajua ili tuweze kujua kama bei ni kubwa au ndogo inabidi tujiulize yafuatayo:-
- Gharama za uendeshaji
- Je usafiri mbadala ni kiasi gani ?
- Je kodi zetu zitumike ku-subsidize huu usafiri ?
- Issue ya huu usafiri ni kusaidia wananchi kupunguza gharama au ni kupunguza msongamano ?
Nani wapinga?
bora tuendelee kubanana kwenye dala dala.hizo treni wapande vibopa wa wizarani ili tupunguze gharama za mafuta ya VX