Wapinga mabeberu wa kweli

Hawa wanaoitwa beberu ukiishi nao kwa ukaribu utagundua kuwa ni watu wazuri saaana,ila kuna baadhi ya watu fulani wanapenda miyeyusho ndo maana hawapatani na beberu,
 
Halafu wameshindwa kuyalima, wamebaki kukimbilia Africa Kusini.

Mugabe mmoja kawaacha wakiwa na hali tete mpaka leo. Njaa haiishi Zimbabwe kila leo
UVIVU WAO tatizo sio Mugabe
 
Bila ubishi yeye ndiye beberu kwenye hiyo picha.Au nasema urongo wazarendo wenzangu?Mabeberu ndiyo hufanza hivyo!😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…