Wapigeni hao muwapige tu ........

Kabla hatujakufungulia, hebu tuambie; Zanzibari ni nchi au sio nchi?
 
Mh. Rais Kayanza!! Naanza kuwaona wananchi wengi wakijiunga CHAWATA maana hicho kipigo cha FFU lazima walemavu waongezeke.
 
Akiwa rais huyu itabidi kuwe na spesho oda za hendkachifu za kumfuta machozi...
 
Dah watu wengine wana moyo sana. Hivi kutwa kucha na shughuli zote za ikulu miaka kenda bado tu huchoki? Kikwete na Obama wamezeeka na majukumu....
 
Dah watu wengine wana moyo sana. Hivi kutwa kucha na shughuli zote za ikulu miaka kenda bado tu huchoki? Kikwete na Obama wamezeeka na majukumu....

Kumbe wammanya vyema, Huyu ni mmoja Kati ya mashushushu yaliyokubuhu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…