Wapigao kelele wakikaribia kufika kileleni

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,602
Reaction score
830,344
Ni utamu ni uchungu ni furaha au ninini ? mbaya zaidi kama mnakaa nyumba ya kupanga halafu haina ceiling board Huwa natamani kumziba mtu mdomo kwa shuka.
 
Ni utamu ni uchungu ni furaha au ninini ?
mbaya zaidi kama mnakaa nyumba ya kupanga halafu haina ceiling board
Huwa natamani kumziba mtu mdomo kwa shuka

Kuna msichana alikuwa anapiga kelele hadi kero ikabidi niwe naenda kulala nae nyumba za wageni maana kelele alizokuwa akipiga hafu ukimuuluza anasema yeye hatoi sauti.
 
Hahahahaaaaa maskini anakuwa hajui anakuwa hajitambui
 
Ni utamu ni uchungu ni furaha au ninini ?
mbaya zaidi kama mnakaa nyumba ya kupanga halafu haina ceiling board
Huwa natamani kumziba mtu mdomo kwa shuka

Uchungu, usimuumize tena mwenzako. Umeskia ee? Muulize Preta atakuelewesha zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unaona aibu mtu akipiga kelele na wengine wakasikia...kwani nyie si mnafanya mambo yenu bwana
 
Ni utamu ni uchungu ni furaha au ninini ?
mbaya zaidi kama mnakaa nyumba ya kupanga halafu haina ceiling board
Huwa natamani kumziba mtu mdomo kwa shuka

Ni heri majirani wasikie makelele yenu kwa kuwa hakuna jambo baya litakalowatokea kuliko kumziba mwenza mdomo kunakoweza kumsababishia mauti. Wakati unataka kumziba kwa shuka we huwa wajisikiaje? unavyojisikia hakuna tofauti na anavyojisikia mwenzako
 
Murder case nje nje...halafu wakitoka wanatudanganya shinikizo la damu kumbe wamewaua na mashuka....
 
Ni utamu ni uchungu ni furaha au ninini ?
mbaya zaidi kama mnakaa nyumba ya kupanga halafu haina ceiling board
Huwa natamani kumziba mtu mdomo kwa shuka

kwani ni kelele za namna gani hizo? Mi nadhani kama ni miguno ni kitu cha kawaida kwani hata bata nao huguna kitu kinapocheu sembuse binadamu. Au hujui hata kompyuta huitikia mara tu modemu inapoingizwa au kutolewa sembuse binadamu!!
 
Ni heri majirani wasikie makelele yenu kwa kuwa hakuna jambo baya litakalowatokea kuliko kumziba mwenza mdomo kunakoweza kumsababishia mauti. Wakati unataka kumziba kwa shuka we huwa wajisikiaje? unavyojisikia hakuna tofauti na anavyojisikia mwenzako

aisee, kwanza hata kumzuia asipige haya makelele ni kumuonea. aangalie anaweza akaishia kung'atwa au kupigwa vibao kama mbadala wa makelele maana mwenzake kachanganyikiwa na mautamu hawezi ku-control hiyo hali
 
for sure
 
Back
Top Bottom