Wapiganaji wa M23 kurudi DRC

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,498
3,465
1546313_902466146438718_5736754152788415239_n.jpg

Rais wa kundi la waasi wa M23 amesema kuwa wapiganaji zaidi ya mia moja wa kundi hilo walioko nchini Uganda hawajatoroka . Bertrand Bisimwa ameiambia BBC kuwa wapiganaji 1,600 wa M23 wanaoishi katika kambi ya kijeshi nchini Uganda watarejeshwa nyumbani Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo hii leo .

Anasema walikimbia kwa kuhofia usalama wa maisha yao nyumbani nchini DRC . Lakini msemaji wa jeshi la Uganda amesema wengi wa wapiganaji hao bado wako chini ya uangalizi wao .

Chanzo:BBC
 
Back
Top Bottom