AKILI ZA WATANZANIA NI ZA OVYO KWELI. TUMEKOMALIA MSHAHARA WA RAIS KAMA VILE ANAJIPANGIA. MIE NACHOJUA, KWA MJIBU WA SHERIA SUALA LA MISHAHARA NA MARUPURUPU YA VIONGOZI WA KISIASA YANAPANGWA NA TAASISI ILYOPEWA HAYP MAJUKUMU.RAIS AKITANGAZA ATAKUWA AMVUNJA SHERIA. NADHANI WATANZANIA NA WANASIASA NA WATANZANIA LAZIMA WAJIFUNZE KUFUATA UTARATIBU ULIOPO.KAMA TUNAONA NI MBOVU BASI TUUWEKE KWENYE KATIBA.
ZITO NA WANASIASA WENZAKE HAJAWAHI KUITISHA VYOMBO VYA HABARI AKATUTANGANZIA MSHAHARA WAKE NA MURUPRUPU YAKE YA KIBUNGE.NATAMANI WAANZE WAO WAKIANZIA NA SPIKA.
LAKINI PIA WANASIASA KAMA ZITO NA MBOWE NA WALE WA CCM KWA KUWA NDO HUPITISHA BAJETI ZOTE BASI WAJE WATUTANGAZIE MISHAHARA NA MARUPURUPU YA KILA KIONGOZI WA KISIASA ILI TUWAPIME. WASIWE KAMA WATOTO KUANZA KUSEMA MAGUFURI ATANGAZE MSHAHARA WAKE WAKATI MAKSHABURASHA YA BAJETI WANAYO WAO.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.