Pamoja na hayo macho ya kidizaini, anaingia kituoni anatoa kitambulisho chake na kupewa karatasi ya kura.Anapiga kura na kura yake inahesabiwa! Kwani wewe mleta picha ulikuwa unafikirije? Kwamba hawa watafukuzwa kituoni?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.