Tume inasema kuwa kwa utaratibu wa mwaka huu, kila kituo kitakuwa na wapiga kura wasiozidi 500! Ina maana kama kuna mtu anataka kuiba kura katika ngazi ya kituo, ataiba kura 500 tu katika kituo kimoja (kama ataweza kubadilisha zote). Ina maana pia kuwa kama ktu anataka kuchakachua matokeo kwa significant amount, lazima aratibu wizi wa matokeo katika vituo kadhaa. Lakini pia ina maana kuwa kama kunatakiwa kupelekwa karatasi feki kwenye vituo, itabidi kupelekwa kwenye vituo vingi, hali inayozidisha risk ya kugundulika.
Katika hili ndio maana naamini mafisadi wa kura wameshalifaham, na naamini wana mbinu mbadala ambazo zitaiba kura katika ngazi za juu zaidi ya kituo.
Tukijiimarisha katika kulinda kura zetu kuanzia ngazi ya kituo hadi huko juu, hebu tujiulize 'kwa hii breakdown ya vituo hadi kuwa si zaidi ya wapiga kura 500, tumeula au tumeliwa'?
Nafiri kuna haja ya kuwapongeza NEC,kwa maamuzi mazuri waliyoyafanya!
Mkuu hili kwa taarifa yako tumeliwa na mbinu halali ya kuiba kura.Ebu fikiria siyo kila kituo kinawapiga kura 500 kama wakiwa pungufu hizo zilizozidi zitaenda wapi?
Tumeliwa vibaya mnoooooo
Mkuu hili kwa taarifa yako tumeliwa na mbinu halali ya kuiba kura.Ebu fikiria siyo kila kituo kinawapiga kura 500 kama wakiwa pungufu hizo zilizozidi zitaenda wapi?
Tumeliwa vibaya mnoooooo
Katika hili ndio maana naamini mafisadi wa kura wameshalifaham, na naamini wana mbinu mbadala ambazo zitaiba kura katika ngazi za juu zaidi ya kituo.
Walitaka Majina/orodha ya wapiga kura iwekwe mapema kwenye vituo vya kupigia kura, ili watu wajue idadi na kama majina yao yapo.chadema kwa kalialia. mlitakaje?......
Majina yatabandikwa Jumamosi hivyo kutakuwa na muda wa siku zaidi ya saba kufatilia jina lako...Unamuona mwingine huyo?Yapi hayo ya kuwapongeza ikiwa mpaka sasa hakuna orodha iliyokwisha wekwa hadharani ya watu halali watakao pigia kituo husika.
Uzoefu nilionao katika suala hili ni kwamba huwa ikibaki siku kama tano majina yanatolewa kwahiyo kinachofanyika zile nyumba au kaya ambazo zina walakini wakumpigia kura Jk au mgombea wa CCM majina yao japo yanakuwa siyo yote hayaonekani na muda wa kufuatailia unakuwa umeisha hivyo unakata tamaa na hapo huwezi kupiga kura tena lakini ukienda kwenye kata ambayo hukujiandikisha unakuta jina lako lipo huko sasa hapo nani atakefaidika?
Mi nawapenda JF kwa kuwa wawazi mbona hizi mbinu hamzifanyii kazi na tunakuwa tunapotosha ukweli?Let us be serious japo siyo wote waliojiunga JF ni wanamapinduzi wengine nikupoteza muelekeo mada husika.Mi ningewapongeza NEC kama within these two weeks wawekee hiyo orodha ili mtu ajijue mapema.
Nafiri kuna haja ya kuwapongeza NEC,kwa maamuzi mazuri waliyoyafanya!