Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Nimepita hapa mitaa ya magomeni nikakumbuka ezi nikipanda daladala hapa wapiga debe walikuwa wengi na wengi wao walikuwa mateja. Na kulikuwa na teja mmoja alikuwa na sauti nzito sana wale wa wakati ule watamkumbuka, pia vituo vingi utamaduni wa kupiga debe umefifia kama si kufa kabisa.
Najiuliza kimetokea nini? Ni hali ya uchumi au wamedhibitiwa na madereva?Lakini acha wapotee kabisa. Wengi walikuwa vibaka na dada zetu walipata shida sana.
Najiuliza kimetokea nini? Ni hali ya uchumi au wamedhibitiwa na madereva?Lakini acha wapotee kabisa. Wengi walikuwa vibaka na dada zetu walipata shida sana.