Niko apo ubungo kwa muda mrefu sasa.tumezoea kuwaona wakikamatwa na askari, shida ni kuwa wengineo wabawaibia wasafiri na kuwatapeli tikeki.hata hivo wanatoa msaada sana kwa wale ambao hawajui namna ya kusafiri au wageni.wapiga debe maarufu ni marafiki zangu sana kulingana na kazi nnayofanya.wana sifa za kipekee hawa jamaa