Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Me bado mdogo nasoma mwenzio usiniharibu.
Ukiwa na kiserengeti boy chako plse!
Me bado mdogo nasoma mwenzio usiniharibu.
Me bado mdogo nasoma mwenzio usiniharibu.
Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh,mccheza ngoma ndio hujua utamu wake!!
Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh,mccheza ngoma ndio hujua utamu wake!!
good question i guesSwali kwa wenye kupiga chapo. Inakuwaje unapokwenda kupiga chabo then unapomkuta mtoto wako/mkeo/mama yako ndo anashuulikikiwa utafanyaje?
Mliokuwa mnapiga AVATAR yangu vita jamani na hii mnaiona lakini kikwetu ni TUSI kubwa sana.
Nimekwisha badili avatar, nasubiri majibu.
ahsante basi si ungeweka picha yako tu..achana na ubabi mwingi..be real ndio tuone kama ntakupa majibu!
ahsante basi si ungeweka picha yako tu..achana na ubabi mwingi..be real ndio tuone kama ntakupa majibu!
Mambo ya chabo bwana, kuna jamaa aliitwa akapige chabo, km kawaida jamaa akajumuika, alipofika kule akakuta anayemegwa bana ana undugu naye, lkn kwakuwa jamaa alikuwa ni mgonjwa wa CHABO na kwa ushauri wa wadau wale kwamba asitibue dili jamaa ikabidi apige kimya aendelee kula kozi, mle ndani jamaa anajituma km injini ya VX full spidi mwana, maujanja na mautundu ya kufa mtu, kila kona jamaa anatekenya, km dk ishirini hivi gemu likawekwa pozi kidogo, mara mambo ya wimbo weetuu uleee wa kizenji, samaki poleee yakaanza samaki sasa akawa anageuzwa ubavu wa pili tayari kuliwa JICHO, Jamaa kuona vile hakukubali si akaingia na mlango HAPANA HAIWEZEKANI UKAMGEUZA NA MIYE NDUGU YAKE NAONA, duh ikawa balaa tena wale wadau dili likambumbuluka wote wakalala mbele.
Kama ambavyo wewe umeweka picha yako halisi? Kuna kitu unakitaka kwa binamu yangu wewe. Tumekustukia.
Behind e'succesful man stands a woman.....tell him/ ur wrong/right