Wapiga chabo!

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Hi! Wakuu,

Tatizo la kupiga chabo linazidi kushika hatamu siku hadi siku, imefikia pointi sasa hadi wapiga chabo wanazamini pambano kwa mfano uliotolewa na clouds FM kwenye kipindi cha Power BreakFast last wk...."kulikuwa na mtu amechukua ma...ya akaenda nae rum alivyofika kabla ya kuanza mtanange binti akadai malipo kwanza ikawa imepungua sh. 50 tu, na jamaa akakunguta suruale na akakosa wale wapiga chabo wakaona isiwe issue wakamtupia sh. 50 iliwafaidi.."

Nilivyouliza watu kwa nini watu wanapenda sana chabo walisema ni njia ya baadhi yao kuwa turn on wakitoka hapo ndio wanaenda kumaliza wao au kijimaliza/kujichua.

Sijui kama linaukweli wowote mwenye data zaidi nijuze kwa nini watu wanatembea na ngazi usiku kisa Chabo????
 
Ha ha ha ha! Sina ngazi nasubiri nipate hela ninunue ngazi!

Usitafute ngazi, utadondoka kama mimi kipindi flani. Raha yake upange matofali au stuli. Hahahaha! Chabo bana, achana nayo kabisa. Unaweza kupiga kambi gesti.
 
hahahahaha wapiga chabo iwa wanatafuta starter na wanakula maufundi wanapata mbinu mpya na maujuzi mapya.
 
Wazimwage hapa nasi tufaidi....

Unajua mpwa wengi wao iwa hawana TV home wataangalia wapi maufundi ya X basi nikupiga chabo tu kwakwenda mbele mm mwenyewe ilinitokea naanza kushughulika jamaa shazi dirishani
 
Wazimwage hapa nasi tufaidi....

Nakumbuka kuna jamaa lijizi lilivunja mlango ili liibe, likakuta mr na mrs wanakula uroda. Likasahau kuiba likabaki linapiga chabo mpaka likakamatwa. Chabo bana, acheni watu wapige chabo. Ina raha yake.
 
Hii nayo kali wako wapi akina daughter waasema ukweli hapa kama wanapigwa chabo?
 
we jibu swali kwani kupiga chabo ilikuwa part of the syllabus??? LOL... hiyo darasa niliskip!

the way ulivyo uliza nilikuwa interested kujua kama ulisoma seminary au zile day za school bus. Kupiga chabo ni kuchungulia wakati watu wanafanya matusi, huu mchezo ni maarufu sana kwa watoto wa kiume japo kwa wasichana pia wamo.

Niliwahi kuwa na ka model nikawa naenda kukamega hostel kwao pale Mabibo, sikuwa najua kumbe kalikuwa kanawaalika wenzake wale chabo mzazi ninapokuwa nakala, nikawa naona wenzake wananishokea sana nilipowamega kama watatu hivi mmoja ndio akaniambia kuwa walikuwa wananiona ninavyomshughulikia mwenzao ndio maana wakataka nao kufaidi.
 
the way ulivyo uliza nilikuwa interested kujua kama ulisoma seminary au zile day za school bus. Kupiga chabo ni kuchungulia wakati watu wanafanya matusi, huu mchezo ni maarufu sana kwa watoto wa kiume japo kwa wasichana pia wamo. Niliwahi kuwa na ka model nikawa naenda kukamega hostel kwao pale Mabibo, sikuwa najua kumbe kalikuwa kanawaalika wenzake wale chabo mzazi ninapokuwa nakala, nikawa naona wenzake wananishokea sana nilipowamega kama watatu hivi mmoja ndio akaniambia kuwa walikuwa wananiona ninavyomshughulikia mwenzao ndio maana wakataka nao kufaidi.

eh? okay nimejua sasa....dunia ina vijimambo....haya so ukawa unawananiiiiiiiii wote eh?
 
the way ulivyo uliza nilikuwa interested kujua kama ulisoma seminary au zile day za school bus. Kupiga chabo ni kuchungulia wakati watu wanafanya matusi, huu mchezo ni maarufu sana kwa watoto wa kiume japo kwa wasichana pia wamo. Niliwahi kuwa na ka model nikawa naenda kukamega hostel kwao pale Mabibo, sikuwa najua kumbe kalikuwa kanawaalika wenzake wale chabo mzazi ninapokuwa nakala, nikawa naona wenzake wananishokea sana nilipowamega kama watatu hivi mmoja ndio akaniambia kuwa walikuwa wananiona ninavyomshughulikia mwenzao ndio maana wakataka nao kufaidi.

Binamu nimeipenda sana hiyo red. Una contacts zao nami nitest zali?
 
Back
Top Bottom