Wapi Zitto Kabwe bunge la katiba?

Wapi Zitto Kabwe bunge la katiba?

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
886
Reaction score
206
wana jamvi napenda kujua wapi ndugu zitto kabwe mbona haonekani katika mjadala wa katiba bungeni?naomba mwenye data zake atuwekee humu
 
Huyo anasubiri awe Mwenyekiti wa CDM kwa amri ya mahakama ndio aanze kazi!
 
Zitto yuko kimya anatafakari ubaguzi ndani ya chadema
 
Zitto yuko kimya anatafakari ubaguzi ndani ya chadema
 
Jamaaa wapuuzi kweli nyinyi, mlivyokuwa mna mbagua mlidhani nn? Kaeni na ubaguz wenu na ukabila wenu na ugomvi na maneno ya karaha...
 
Tunadai katiba ya watanganyika na siyo ya wabembe wa kikongomani.
Anakula ujana na mtoto wa dhaifu la magogoni siunajua tena jamaa ana hisa za kibiashara na magari ya saratyoga na andriveture,
hivyo anpiga dili za kifisadi siku hizi umugope!
 
jamaaa wapuuzi kweli nyinyi, mlivyokuwa mna mbagua mlidhani nn? Kaeni na ubaguz wenu na ukabila wenu na ugomvi na maneno ya karaha...

acha mipasho dadaangu jibu kwa hoja zenye mashiko bila kasumba.
Au wewe ndiye asha wa dhaifu la magogoni?
 
Tunadai katiba ya watanganyika na siyo ya wabembe wa kikongomani.
Anakula ujana na mtoto wa dhaifu la magogoni siunajua tena jamaa ana hisa za kibiashara na magari ya saratyoga na andriveture,
hivyo anpiga dili za kifisadi siku hizi umugope!

mumeo hakupi haki ya ndoa ipasavyo? Mbona unaongea pumba namna hii
 
Yani badala atafakari mustakabali wa chama lake mfu ACD anatafakari kuhusu chama dume Chadema...

Hana nafasi tena Chadema huyo mnafki..
We sijui unatoka wapi haya mambo kama huyajui kaa kimya tanzania hakuna chama kinaitwa ACD kama hujui kaa kimya unatia aibu.
 
Nimemsikia jana bbc akihojiwa na Salim Kikeke kuhusu mpira wa Liver na Man City akiwa Ujeruman, jamaa ni shabiki wa live
 
Back
Top Bottom