MTAMBOKITAMBO Senior Member Joined Jun 2, 2011 Posts 194 Reaction score 39 Jun 13, 2011 #1 Salaam wana jf,nimekuwa naona watu wanazisifia hizo modems za safaricom kwamba unaweza tumia line ya mtandao wowote ule hapa tz.swali ni kwamba,zinauzwa maduka gani hapa dar,au ni mpaka kenya tu?
Salaam wana jf,nimekuwa naona watu wanazisifia hizo modems za safaricom kwamba unaweza tumia line ya mtandao wowote ule hapa tz.swali ni kwamba,zinauzwa maduka gani hapa dar,au ni mpaka kenya tu?
MTAMBOKITAMBO Senior Member Joined Jun 2, 2011 Posts 194 Reaction score 39 Jun 13, 2011 Thread starter #2 ...na bei yake plz.
P Paul S.S JF-Expert Member Joined Aug 27, 2009 Posts 6,411 Reaction score 3,279 Jun 13, 2011 #3 Mkuu check na thread hii katika post no 11 kisha jaribu kum pm huyo muheshimiwa anaweza kukusaidia, naona kaweka na picha ya modem kabisa
Mkuu check na thread hii katika post no 11 kisha jaribu kum pm huyo muheshimiwa anaweza kukusaidia, naona kaweka na picha ya modem kabisa