siku hizi zipo hdmi dongle zinazoruna hadi windows/linux zenye specs nzuri tu sema ni ngumu kupata bongo sababu wafanya biashara wetu hupenda kuigana ni ngumu kuzipata.
unatumia simu gani na tv gani? mi hutumia tu miracast kuifanya tv iwe smart kupitia simu yangu
mh mi natumia iphone 5s, tv samsung 5 series led. mdau. nipe maelezo
Hizi mambo nijuavyo huwa zinahitaji bandwidth kubwa kidogo...
Sasa sijui kama ukiwa nayo kwa bongo kama utaweza kupata provider mzuri asiye na internet yenye kwikwi...
Mbele hii kitu ipo sana na watu wanatumia sana kitu kana Roku, Amazon Box, Apple Tv n.k
Hizi mambo nijuavyo huwa zinahitaji bandwidth kubwa kidogo...
Sasa sijui kama ukiwa nayo kwa bongo kama utaweza kupata provider mzuri asiye na internet yenye kwikwi...
Mbele hii kitu ipo sana na watu wanatumia sana kitu kana Roku, Amazon Box, Apple Tv n.k
vipo ambavyo vinaweza tumika bila kustream sema bei zake zinakua juu kidogo kama vile fire tv, au ile ya sony
Nisaidie hii screen mirroring kwenye simu inafanya kazi gani?Mh! iPhone ina airplay ambayo ipo limited kwenye ecosystem yao tu, sidhani kama hawa jamaa wameshaanza kusuport miracast. TV nyingi kama za samsung, sony, lg na wengineo
Wao wanatumia miracast na simu zao pia zina screen mirroring. angalia tv yako kama inayo miracast halafu tafuta hata jamaa mwenye simu ya android/wp yenye miracast then test ukipenda tafuta kisimu cha kiaina kwa ajili ya kazi hio.
Nisaidie hii screen mirroring kwenye simu inafanya kazi gani?
Maana naona kitu cha hivo kqenye simu yangu
Nshaielewa mm nkajua ni ile feature kama ya Galaxy Tab S ambako Unaweza kuirusha screen ya Samsung S5 kuja kwenye screen ya hizo Tabinaproject simu yako kwenye tv, unaweza tumia hio simu kucheza game, kuangalia movie, mpira na mambo mengine kwenye tv. unabidi na tv nayo iwe na miracast pia.
Nshaielewa mm nkajua ni ile feature kama ya Galaxy Tab S ambako Unaweza kuirusha screen ya Samsung S5 kuja kwenye screen ya hizo Tab