wapi zinapatikana spare za ford focus

wapi zinapatikana spare za ford focus

Mfuatiliaji

Senior Member
Joined
Jun 5, 2008
Posts
153
Reaction score
33
habari wandugu natanguliza shukurani nyingi kwa members wa forums kwani kupitia jukwaa hili nimefanikiwa kupata mambo mengi pili natafuta spare part za ford focus kwa mwenye taarifa zinapo patikana ziwe mpya au used naomba anihabarishe nipo dar es salaa

shukran
 
Eleza ni spare gani hasa unayoitaji..model ya gari yako na ikiwezekana chasis namba watu tufanye kazi
 
Unataka Spare gani mimi nina taa za mbele za horn kama unataka hivyo ni pm tuongee
 
Back
Top Bottom