Second Lieutenant Senior Member Joined Jan 13, 2014 Posts 143 Reaction score 26 Oct 13, 2015 #1 Habari za asubuhi wadau, jaman nina shida na umoja wa wafugaji dar UFUKUDA, nataka kwenda office kwao ,sijuhi wako maeneo gani, naona huu umoja kama umekufa nataka nikawaamshe, wafugaji tunakufa njaaa bei mbayaaaa za mayai na broiler
Habari za asubuhi wadau, jaman nina shida na umoja wa wafugaji dar UFUKUDA, nataka kwenda office kwao ,sijuhi wako maeneo gani, naona huu umoja kama umekufa nataka nikawaamshe, wafugaji tunakufa njaaa bei mbayaaaa za mayai na broiler