Wapi zilipo ofisi za kampuni ya MOTA ENGIL iliyopewa kazi ya kujenga reli ya standard geji nchini?

Tukwazane Taratibu

Senior Member
Dec 20, 2012
195
537
Wakuu habari zenu?

Kuna kampuni ya Kireno iitwayo Mota Engil imepewa tenda na serikali ya Tanzania kujenga reli ya SGR kutokea Dar hadi Moro na nimeona imetangaza nafasi za kazi kupitia gazeti la The Guardian lakini E-mail waliyoitoa kwenye gazeti lile na hata kwenye blogs na websites mbalimbali haifanyi kazi, kwa maana ya kwamba ukituma CV zako humo zinafeli kwenda na unarudishiwa majibu ya kwamba email haipo.

So please kwa anaejua zilipo ofisi za hawa jamaa anielekeze tu mimi nipeleke kwa mkono. Nimetumia kila mbinu kuzitafuta mtandaoni sijafanikiwa.

Asanteni
 
Wakuu habari zenu? Kuna kampuni ya Kireno iitwayo Mota Engil imepewa tenda na serikali ya Tanzania kujenga reli ya SGR kutokea Dar hadi Moro na nimeona imetangaza nafasi za kazi kupitiagazeti la The Guardian lakini E-mail waliyoitoa kwenye gazeti lile na hata kkwenye blogs na websites mbalimbali haifanyi kazi, kwa maana ya kwamba ukituma CV zako humo zinafeli kwenda na unarudishiwa majibu ya kwamba email haipo. So please kwa anaejua zilipo ofisi za hawa jamaa anielekeze tu mimi nipeleke kwa mkono. Nimetumia kila mbinu kuzitafuta mtandaoni sijafanikiwa.

Asanteni
Hawa jamaa kwa hapa Dar hawana ofisi, japokuwa kuna ofisi yao ndio ipo inamaliziwa Masaki pale kufanyiwa partition.
 
Wakuu habari zenu? Kuna kampuni ya Kireno iitwayo Mota Engil imepewa tenda na serikali ya Tanzania kujenga reli ya SGR kutokea Dar hadi Moro na nimeona imetangaza nafasi za kazi kupitiagazeti la The Guardian lakini E-mail waliyoitoa kwenye gazeti lile na hata kkwenye blogs na websites mbalimbali haifanyi kazi, kwa maana ya kwamba ukituma CV zako humo zinafeli kwenda na unarudishiwa majibu ya kwamba email haipo. So please kwa anaejua zilipo ofisi za hawa jamaa anielekeze tu mimi nipeleke kwa mkono. Nimetumia kila mbinu kuzitafuta mtandaoni sijafanikiwa.

Asanteni
Mi nilidhani pale shaurimoyo
 
Kama upo dsm,nenda pale ofisi za TRL karibu na Central Polisi,Uliza Ofisi za manunuzi... Wale ndo wanajua ofisi za hawa jamaa zilipo.....
 
Wakuu habari zenu?

Kuna kampuni ya Kireno iitwayo Mota Engil imepewa tenda na serikali ya Tanzania kujenga reli ya SGR kutokea Dar hadi Moro na nimeona imetangaza nafasi za kazi kupitia gazeti la The Guardian lakini E-mail waliyoitoa kwenye gazeti lile na hata kwenye blogs na websites mbalimbali haifanyi kazi, kwa maana ya kwamba ukituma CV zako humo zinafeli kwenda na unarudishiwa majibu ya kwamba email haipo.

So please kwa anaejua zilipo ofisi za hawa jamaa anielekeze tu mimi nipeleke kwa mkono. Nimetumia kila mbinu kuzitafuta mtandaoni sijafanikiwa.

Asanteni
Hao jamaa wanapatika ARC Hotel nanenane morogoro, nilishawai kuwafikia nikiwa morogoro
 
Nenda mpaka karume sokoni, ulizia watu watakuelekeza zilipo cause nishakutana na mtu maeneo hayo akaniambia anaenda hizo ofisi sema sikumzingatia sana
 
Nenda shaurimoyo ilala pale karibu na Geti la kuingia kituo cha treni kariakoo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom