Wapi zilipo Line za Halotel za Chuo jijini Mwanza?

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Posts
23,367
Reaction score
55,049
Natafuta Line za Halotel (za chuo) nipo mwanza,mwenye kufahamu sehemu zinapopatikana maana nimezisaka sana ila sijafanikiwa kuzipata "ushirikiano tafadhali"
 
ulizia kwa wanaosajili line huwa wanakua nazo
 
Wanaosajili laini wanaweza kukusaidia ila watakufanyia intaviuu kwanza na test ya maswali matano ya chuo.
Ukifeli ndio basi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…