Ladslaus Modest
JF-Expert Member
- Jun 27, 2008
- 635
- 27
Mwenye Akili ni ambaye ana yafuatayo:
....... Hekima;
....... Ufahamu;
....... Shauri;
....... Uweza;
....... Maarifa na
....... Kumcha Mungu.
Kati ya wabongo waishio Marekani na wale waishio UK na nchi zingine za Ulaya, wapi wenye akili zaidi? Mimi nasema wale waishio Marekani....wewe unasemaje?
kabisaaaaaa....au kaachwa na XXXl lake au madeni yamemzidi....jamaa yuko very lowa sana kwenye post zake.......lakini tutaenda nae taratibu JF ni kama kokoro hata hawa hawakosekani....NYANI,reading through your mind,inaonekana una domestc problems,to release your anger cum frustuations,you HIT THE KEYBOARD,with totally uncalled for,layman issues.we the JF franternity symphatise wholeheartedly with your plight,and as a token of support we suggest you see a SHRINK.THE SOONER THE BETTER
Swadaktaaa.........sijaelewa maana ya mwenye akili zaidi na aliyekuwa nazo kidogo ila nijuavyo mimi ni kuwa wote ni pu**u tu maana kama wangekuwa na akili wasingekubali kwenda kubebeshwa mabox na wazungu na wengine kuolewa na bibi vizee kwa tamaa ya maisha rahisi
Yuu wora am seyin...snikers,miwani ya jua usiku.....mbona tangu waende huko hakuna aliyerudi na technology yoyote hata ya kutengeneza pamba za kuchokoa masikioni.sana sana wakirudi huwa wanarudi na mitindo ya mavazi na huku wengine wamebadilisha hata miondoko ,shame on them
kabisaaaaaa....au kaachwa na XXXl lake au madeni yamemzidi....jamaa yuko very lowa sana kwenye post zake.......lakini tutaenda nae taratibu JF ni kama kokoro hata hawa hawakosekani....
Spika alipoambiwa alimkosea adabu alipoikuwa anamshukuru rais aliwajibu kuwa
hiyo hoj ni UPUUZI MTUPU
mtu kafanya utafiti wa KIPUUZI badala ya kutoa matokeo yake anwauliza watu as if bado anaendelea na utafiti.
hao unaowasema unajumuisha watu wote au wa JF yako?
SNadhani wanaokaa BONGO ndio wana akili zaidi, na sisi tunaokaa Australia hatujasema bado
sijaelewa maana ya mwenye akili zaidi na aliyekuwa nazo kidogo ila nijuavyo mimi ni kuwa wote ni pu**u tu maana kama wangekuwa na akili wasingekubali kwenda kubebeshwa mabox na wazungu na wengine kuolewa na bibi vizee kwa tamaa ya maisha rahisi,mbona tangu waende huko hakuna aliyerudi na technology yoyote hata ya kutengeneza pamba za kuchokoa masikioni.sana sana wakirudi huwa wanarudi na mitindo ya mavazi na huku wengine wamebadilisha hata miondoko ,shame on them
Spika alipoambiwa alimkosea adabu alipoikuwa anamshukuru rais aliwajibu kuwa
hiyo hoj ni UPUUZI MTUPU
mtu kafanya utafiti wa KIPUUZI badala ya kutoa matokeo yake anwauliza watu as if bado anaendelea na utafiti.
hao unaowasema unajumuisha watu wote au wa JF yako?
SNadhani wanaokaa BONGO ndio wana akili zaidi, na sisi tunaokaa Australia hatujasema bado
Kijana una matatizo mengi ya kisaikolojia......Wewe dizaini ni mbongo wa yuropu wewe......huna akili
Hey Nyani McCain, how about you startin' they Nyani clothin line in Bongo, somethin' like "Kane McNyani Wear"? I won't be surprised if your fan-base in Bongo turns out to be 100 times larger than Masoud Kipanya's KP Wear Chinese-made crap. I mean you could be earnin' they top dollar you know? At least enough to last you, your 3 half-nyani, half-human sons and their human mum a lifetime of bananas, peanuts and all the candy you can eat! What says you Nyani McCain?
Kijana una matatizo mengi ya kisaikolojia......
1:umeachwa na XXXL lako.
2:Madeni.......
Tutakusaidia tu.....
Kwanza nikuulize kuwa na akili maana yake ni nini?