Mkuu hata mm nina tatizo kma lako la kioo cha HTC one Vx! Nlikwenda kuulizia bei yake kariakoo bei nloambiwa karibia nikimbie hadi kuvunjika nyonga! Bei yake ni 150 na matengenezo ni 10,000! nkajaribu ili niagize eBay nako nkakuta nako bei inafika 150 za kitanzania. Kma vipi nenda kariakoo vipo hivyo vioo