Wapi wanavolunteer bure hapa Tanzania?

Wapi wanavolunteer bure hapa Tanzania?

Spokesperson

Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
19
Reaction score
7
Habarini!

Jamani mimi ni muhitimu wa shahada ya kwanza. Ninapenda kufanya kazi ya kujitolea katika mashirika ya kimataifa ya misaada. sasa kila nikiingiz kwa tovuti zao naona wanataka WAZUNGU tu, nao pia hulipa ada fulani.

Nisaidieni; wapi hapahapa Tanzania nitapata shirika linalohitaji Watanzania na BURE?
 
restless development, VSO, Raleigh International
 
Kuna tangazo la kuvolunteer VSO kwa mikoa ya Lindi na Zanzibar lipo website ya zoom mwisho wa kuapply ni 25 october kama upo interested tuma.....wanaprovide na accomodation
 
Back
Top Bottom