Wapi wanauza vifaa vya kupambia keki

Wapi wanauza vifaa vya kupambia keki

sexy bubble

Senior Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
156
Reaction score
22
hellow naba msaada kama kuna member anaweza kujua wapi wanwma uza vifaa vya kutengenezea keki.vifaa hivyo ni kama food colour,mould,nozzle,piping bag na vinginevyo. thank you.
 
Supermarket zote unazozijua kama
Upo Arusha waone Nakumat Mwanza nenda Nono au U-turn .
 
Kama upo dar nenda kariakoo, maduka mengi yapo kuzunguka soko dogo la kariakoo karibu na shimoni utapata kila kitu.
 
Back
Top Bottom