Mkuu nenda pale IT Plaza chini pana duka flani wanauza hizo vitu OG kabisa. Pia nenda pale posta mpya ukitoka Benjamin Mkapa NSSF Tower, NMB Bank, Mavuno house kama unaenda Askari monument upande wa kulia kwako kuna duka lina hizo kitu OG. sema bei parefu sana.