Wapi wanauza paraffin wax ya kutengenezea mishumaa?

Wapi wanauza paraffin wax ya kutengenezea mishumaa?

MAHUMA k

Member
Joined
Jan 17, 2018
Posts
10
Reaction score
3
Habari,

Ndugu zangu, wanaofahamu mahali wanapouza paraffin wax inayotumika kutengenezea mishumaa kwa Mwanza naomba anisaidie na ikipendeza ama kwa mawasiliano yao itanifaa zaidi.
 
unaweza kua unafahamu pia kwa mwanza ni mahari gani tofauti na dar?

Mahari ni fedha au kitu kinachotolewa na mwanaume kumpa mwanamke baada yakupeleka posa kwa makubaliano waliyokubaliana baina yao kwa ajili ya kufunga ndoa.

Ahsante.
 
kama unamawasiliano yao naomba unisaidie
Najua kuna kiwanda Mwenge ila sijui kama bado kinafanya kazi pia siishi karibu nacho.

Online nimekuta mawasiliano ya kiwanda cha Twiga kilichotajwa na mdau hapo juu, cheki contacts zao

Phone: +255 22 286 0030

Physical Address:
Saza Road Chang'ombe, Dar Es Salaam, Tanzania

Postal Address:
PO Box 20786, Dar Es Salaam, Tanzania
 
ahsante
 
Back
Top Bottom