Daviie
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,292
- 1,483
Dah namimi nilikuwaga kama wewe ila as the days goes on saiv asilimia 60% ubongo wangu unawaza kufa. Ningekuwaga na Bastola labda leo hii nisingekuwepoAfikirie tu watu anaowapenda na wanaompenda kama familia yake lazima apate moyo wa kuendelea kuishi
Binafsi siwezi kuja kufikiria kujiua kwa sababu yoyote ile...sababu kubwa ni nikifikiria navyompenda baba na yeye anavyonipenda hivi namuachaje?namuacha katika hali gani?