simy101
Member
- Jan 19, 2011
- 18
- 4
Salamu wadau,
Ninataka kununua laptop zinazotumia Google OS (Chromebooks) hapa Dar, sichagui brand kwa sasa; iwe Samsung, Asus, Toshiba au 'manufacturer' mwingine yoyote yule... cha msingi kujua ni duka/wapi zinapatikana kwa hapa Dar.
Natanguliza shukrani!
Asanteni.