EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,675
- 2,116
Wakuu nataka nijulishwe ni wapi naweza pata mafunzo ya kutengeneza simu hardware na software, au kama kuna chuo niende kusoma au kama kuna mtu anaweza nifundsha kwa malipo but sharti awe na ofisi na vitendea kazi vyote, tutalipana kwa mwezi but zaid nataka chuo.
Call me 0755914977
Call me 0755914977