Duh! Kiswahili hatujui, kiingereza ndio balaa. Kuna siku nikaona mwanasheria feki kagonga sahihi kwenye certificate original ya mtu!!! Ujinga huu, ni mzigo.
Toa photocopies za certificates zinazotakiwa kuwa certified. Nenda nazo kwa advocate ukiwa na hizo original certificates. Advocate atakupigia mihuri na sahihi za hizo copies kwa kuhakikisha kweli ni photocopy ya original certificates.