Wapi wanaponunua makochi ya zamani?

Wapi wanaponunua makochi ya zamani?

empress

Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
39
Reaction score
19
Wapendwa naomba kuuliza jambo... mzazi wangu amepewa zawadi ya seti mpya ya masofa na fenicha nyingine kama zawadi ya kustaafu...hana pa kuiweka seti ya zamani....kuna mtu humu anaweza fahamu mahali wanaponunua makochi ya zamani..maana mbao zake ni nzima na imara ila kitambaa kimechakaa kiasi...

Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app
 
Minada ya balozi mbalimbali
 
Back
Top Bottom