MGuccI JF-Expert Member Feb 1, 2014 1,480 1,139 Aug 2, 2015 #1 Msaaada wana JF. Mimi ni mpishi mzuri tu wa cake. Sasa next week nina birthday ya binamu yangu. Nilitaka nimpikie cake mwenyewe bt niipeleke sehemu ikapambwe (kuchorwa). Kwa wanaojua ni sehemu gani maeneo ya Dar wanapamba cake. Asante.
Msaaada wana JF. Mimi ni mpishi mzuri tu wa cake. Sasa next week nina birthday ya binamu yangu. Nilitaka nimpikie cake mwenyewe bt niipeleke sehemu ikapambwe (kuchorwa). Kwa wanaojua ni sehemu gani maeneo ya Dar wanapamba cake. Asante.
mnoel JF-Expert Member Aug 14, 2012 211 99 Aug 2, 2015 #2 mgucci said: msaaada wana jf.. Mm ni mpishi mzuri tuu wa cake,,, sasa next week nina birthday binamu yangu,, nilitaka nimpikie cake mwenyewe bt niipeleke sehemu ikapambwe (kuchorwa).. Kwa wanaojua ni sehemu gani maeneo ya dar wanapamba cake... Asante Click to expand... mtafute huyu m2,,,, yupo bahari beach,,, yeye anatengeneza na kupamba..... 0656318087
mgucci said: msaaada wana jf.. Mm ni mpishi mzuri tuu wa cake,,, sasa next week nina birthday binamu yangu,, nilitaka nimpikie cake mwenyewe bt niipeleke sehemu ikapambwe (kuchorwa).. Kwa wanaojua ni sehemu gani maeneo ya dar wanapamba cake... Asante Click to expand... mtafute huyu m2,,,, yupo bahari beach,,, yeye anatengeneza na kupamba..... 0656318087
MGuccI JF-Expert Member Feb 1, 2014 1,480 1,139 Aug 3, 2015 Thread starter #3 mnoel said: mtafute huyu m2,,,, yupo bahari beach,,, yeye anatengeneza na kupamba..... 0656318087 Click to expand... Mkuu inaweza nicoct how much,, its jus birthday cake..
mnoel said: mtafute huyu m2,,,, yupo bahari beach,,, yeye anatengeneza na kupamba..... 0656318087 Click to expand... Mkuu inaweza nicoct how much,, its jus birthday cake..
MGuccI JF-Expert Member Feb 1, 2014 1,480 1,139 Aug 3, 2015 Thread starter #5 mnoel said: kutengeneza na kupamba..... 40k Click to expand... Thnks mkuu..