husnie1703
New Member
- Nov 4, 2025
- 3
- 2
Habari, Nahitaji kujifunza kuhusu kupamba kumbi za sherehe Kama zile za Maharusi etc.
1. Kwa Mwenye abcd kuhusu hii Biashara ya Mapambo anipe ushauri na changamoto zake .
2. Naomba anijuze pia sehemu wanayofundishwa hasa short course pia naomba aniambie nataka nikajifunze.