Si mtazamaji wa movies za kibongo, lakin nikiwa home nikipata muda wa kuzuga na series za kibongo zinaoneshwa azam, hasa channel ya sinema zetu.
-movies / series nyingi contents zinafanana. Nyingi zinazungumzia watu wanaogombania kampuni na migogoro ya mapenzi tu. Ni rahisi sana kupredict direction ya movies mwisho wake.
-kuna changamoto ya selection ya characters. Utakuta kuna lijamaa lina mama yake afu huyo mama ni kama wanalingana umri, kitu ambacho hakileti uharisia ata kama wanaigiza.
-sehemu kubwa ya movie ni ndani tu kalibia zote,.
Mabadiriko- kwa upande wa camera wamejitahidi sana, waigizaji wengi wanajitahidi wanauvaa uhusika mtu akipewa kipande chake cha kuigiza.
-kikubwa wawe na contents nyingi za kuigiza si kila siku kufirisika kwa makampuni.