Nakumbuka wakati nipo mdogo
Mama kuna muda mwingine
Huwa ana mtuma Dada Akimwambia "oko"chungu jikoni
Lakini sasa ivi pia nasikia
Matangazo yana sema "okoa"pesa naombeni mnisaidi ili neno wapi ni mahali
Sahihit
Okoa kwa maana ya msingi ni kitendo cha kuondosha mtu au kitu katika hatari.Katika sentensi ya kwanza unaweza kuelezea kitendo cha kutoa chungu jikoni ili chakula kisiungue na moto na sentensi ya pili mara nyingi huelezea bidhaa au huduma za bei nafuu hivyo ununuzi wako utakufanya utumie hela kidogo au upate faida......nimejaribu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.