Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,373
- 3,586
Mamboz!
Kwa wale mlio nje ya Tz jaman mnasoma news kutoka website gani ambazo ziko current. Maana ukicheki Mwananchi.com au ippmedia.co.tz mambo yametokea juziiii ndo yanaandikwa leo. Tena w-end ndo hamna habar kabisa. Au ma-uploader wao wakienda likizo cjui ndo habar hamna kabisa. Yaan inaboa. Heri mara laki na JF hapa kunawaungwana wanatoa mada motomoto toka magezetini na kuzipost, hiyo inasaidia sana kuliko hizo website nlizozitaja hapo juu. Au wenzangu mna ma-website mbadala mnipatie?!