Wapi Uamsho?

Head teacher

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,796
411
Je, ukimya umetokana na baada ya kutafakari madhara ya kuvunja muungano. Madhara makubwa ambayo wanahofia ni pamoja na kuporomoka kiuchumi, kutokuwa na usalama wa chakula, kupoteza eneo kubwa la bahari, nk....?

Mungu ibariki Tanzania
 
Hivi kweli wako wapi siku hizi?
Namsikia waziri asiye na wizara maalum kijana wa Mwanajeshi Yusuf Himid (Mansour).
Aliyejipachika ujumbe wa baraza la kwanza la Mapinduzi Mzee moyo.

Ama kweli njaa mbaya ingawa inawezekana kuwa wanajipanga kwa mbinu mpya. Tusubiri wakimaliza kuzitafuta baraka na neema za mfungo wa Ramadhani. Si unajua hata wakati wa vita, mwezi wa tisa katika mwaka wa Hijria husimama?

Bazazi ni Bazazi!
 
Je, ukimya umetokana na baada ya kutafakari madhara ya kuvunja muungano. Madhara makubwa ambayo wanahofia ni pamoja na kuporomoka kiuchumi, kutokuwa na usalama wa chakula, kupoteza eneo kubwa la bahari, nk....?

Mungu ibariki Tanzania

ama kweli nyinyi mmelala. Huku Uamsho wanaendelea kama kawa sema underground. na kitu kizuri au sijui niseme kibaya wameshakomba hadi viongozi wa CCM Unguja. kiufupi ccm na cuf wako pamoja unguja. Kalagabaho .
 
Mpaka wachomewe makanisa ndo watjua wanafanya nini !!
 
Back
Top Bottom