Wapi twende x-mass / boxing day na mwaka mpya?

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,618
Kwa wale wanaoniunga mkono, nawaombeni sasa tufike hatua tufahamiane live. Tuanzishe Club za JF ndani ya majiji yetu na ikiwezekana tuwe tunakutana na kujadili mambo mbalimbali yanayohusu jamii yetu.

Kwa kuanza walioko ndani ya jiji la Mwanza naomba tupendekeze siku ya kukutana na kufahamiana. Kwa upande wangu napendekeza Boxing day tukutane Villa City (zamani ilikuwa Tivol) ni opposite na uwanja wa Nyamagana. Ni katikati ya jiji.
Nawasilisha; walioko Dar, Mbeya, Bukoba, Arusha, n.k nanyi mtajipanga!
 
wewe acha ubinafsi ,jiunge na wenzio safari ya tanga,ckukuu kaa na familia yako
 
eh! Kuna safari ya tanga imeishatangazwa!
Pili, nimependekeza boxing day ambayo ni 26th dec. ..... 25 dec. Inabidi kweli familia ikae pamoja!
 
Kwa wale wanaoniunga mkono, nawaombeni sasa tufike hatua tufahamiane live. Tuanzishe Club za JF ndani ya majiji yetu na ikiwezekana tuwe tunakutana na kujadili mambo mbalimbali yanayohusu jamii yetu.

Kwa kuanza walioko ndani ya jiji la Mwanza naomba tupendekeze siku ya kukutana na kufahamiana. Kwa upande wangu napendekeza Boxing day tukutane Villa City (zamani ilikuwa Tivol) ni opposite na uwanja wa Nyamagana. Ni katikati ya jiji.
Nawasilisha; walioko Dar, Mbeya, Bukoba, Arusha, n.k nanyi mtajipanga!

Tukutane kanisani jimbo la Makuburi na ndugu zangu waislamu wakutane msikitini kwa mtoro. Nikitoa maoni yangu kutoka Dar Es Salaaaaaaaam, ni mimi Sumuuuuuu wa Jamiiiii Foraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wacha udini we Sumu wa JF
 
Kwa wale wanaoniunga mkono, nawaombeni sasa tufike hatua tufahamiane live. Tuanzishe Club za JF ndani ya majiji yetu na ikiwezekana tuwe tunakutana na kujadili mambo mbalimbali yanayohusu jamii yetu.

Kwa kuanza walioko ndani ya jiji la Mwanza naomba tupendekeze siku ya kukutana na kufahamiana. Kwa upande wangu napendekeza Boxing day tukutane Villa City (zamani ilikuwa Tivol) ni opposite na uwanja wa Nyamagana. Ni katikati ya jiji.
Nawasilisha; walioko Dar, Mbeya, Bukoba, Arusha, n.k nanyi mtajipanga!

Christmas na mwaka mpya naomba wana JF wote tuungane na wachaga kuelekea Moshi kusherehekea!
 
Back
Top Bottom