Wapi tutaangali Afcon kwa chaneli za Taz

Wadau Azam tv wa Zee wa "Burudani kwa wote" watatuletea mitanange yote ya Afcon kupiti chanel yao Mpya ya UTV itakayo zinduliwa kesho 15/6/2019 kwenye kingamuzi cha Azam tv.

Hivyo kila 1tu anaweza kuwatafuta kujiunga nao. Kuhusu KBC Hawajamaa wana roho mbaya sana hawa onyeshi uaga ikifika muda wa mechi kuanza wana zima data. Kwenye vingamuzi visivyokua vya kwao. Unasikia sautitu. Bora KTN Niwaungwana sana.
 
AZAM Tv Jumatatu ya Tarehe 17 June wanazindua Channel yao ya UTv, pamoja na kuonyeshwa upya kwa TAARIFA YA HABARI ya akina Charles Hilary, Ivona Kamuntu, Fatma Nyangasa & B. Muhuza... Pia watarusha AFCON 2019!
 
Tanzania mpaka leo sijaona chanel yeyote ina toa matangazo kuwa watakuwa live afcon,
jana nimeona wenzetu kenya KBC kuwa wataonyesha mechi zote 52 bure.
DSTV watarusha AFCON kwa lugha ya kiswahili. Ukitaka dstv ni-pm nikuletee.

Tena kwa wateja wapya kwa mwezi huu wa Juni, ukinunua tu haina haja ya kununua kifurushi.

Wewe ni kutazama kwenda mbele.

DSTV ZANZIBAR 0778201526
DSM 0653422776.
 
Hapana huwa haiendi hivyo.Kituo kinachochukua picha uwanjani huwa ni kimoja tu kwenye mchezo wowote.(Wananunua haki) halafu channel zote duniani zinachota picha kutoka kwake.Ukitaka kufahamu hili chukua screen mbili zenye channel tofauti halafu angalia game moja utaona display zinafanana.English premier league nadhani inarushwa na Skysports sasa Dstv wananunua picha pale wanamlipa sky wanarusha Africa.Hii Afcon sijajua anarusha nani lakini mara nyingi huwa ni TV za ufaransa.Halafu TBC,KBC,Azam;Dstv wananunua hapo.Ligi ya Tanzania inarushwa live na Azam (Haki) ili mtu mwingine aweze kuirusha lazima apewe masafa na Azam kwa kulipia (siyo bure).Imagine kombe la dunia kila kituo cha TV duniani kipeleke Camera uwanjani.Wasalaam
Azam tv kupitia ZBC2 alafu acheni ufala TBC waonyeshe mpira nani ataangalia Camera zenyewe utafikili wanatumia Simu ya Tecno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…