Wapi tunapoelekea jamani huu ni zaidi ya ukatili picha zinatisha kwa kweli duuuu dunia hii

sijaelewa hapo hembu ongezea nyama habari yako mkuu imekuwaje ??
 
Watu wana roho ngumu sana... duuu... tatizo hata sijui nini hapo... mtu kama huyo sijui hata unampa adhabu gani...
 
Nasikia ni mororgoro hiyo...mtu amemchinja jirani yake kisa walikuwa na ugomvi usioisha
 
Bila maelezo haina maana tunaoneshana tu horrific images. .wakati movie zipo za kuangalia horror movies..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…