ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,877
- 41,961
Acha upotoshaji soma hapo chiniNasikia ni mororgoro hiyo...mtu amemchinja jirani yake kisa walikuwa na ugomvi usioisha
Nasikia ni mororgoro hiyo...mtu amemchinja jirani yake kisa walikuwa na ugomvi usioisha
Uongo wa mchana kweupeNasikia ni mororgoro hiyo...mtu amemchinja jirani yake kisa walikuwa na ugomvi usioisha
mkuu mimi nimesikia huko Instagram,ndio maana nikatanguliza neno NASIKIAUongo wa mchana kweupe
basi nimelishwa matango pori!!nimesoma mahali wameandika ni MorogoroHizi picha ni nigeria labda km huko nigeria nako kuna morogoro