umeona eeeh kuna mtu mwingine chemistry yenu inamatch kitandani na moyoni tu huko kwingine hakuna kwako red yeye ni black whiye ni green yaani ......bora tu upige kimya mshare kilichowezekana period!
ujue tatitop watu sio wavumilivu ....hata mbuyu ulianza kama mchicha..sasa sisi tunaanza tu kuwa wapenzi hata kabla ya kujuana vema...sasa katikati unajikuta upo na bomu ambalo dakika za kulipuka ndo zinakaribia....na pa kukimbilia huna,,unabaki hapo unachanika vipandevipande hufai tena...
mi naona kabla ya kuingia kwenye mahusiano tuwe at least marafiki wa kawaida tusomane...hii itasaidia maana wengine tunatofautiana saaaaaaana.....
mambo ya kudandia daladala ya mbezi mwenge wakati ulikuwa unasubiri kwenda kimara tuache...daladala ni nyingi sana mwenge ata za kimara zipo so tusubiri bila kuchoka
nawasilisha
3. tunakosea tunapotaka wenzi ambao wapo perfect katika kila kitu wakati tunajua hakuna mkamilfu. unapokuwa katika mahusiano ni vizuri kuyakubali na kuyavumilia mapungufu ya mwenzi wako badala ya kufikiria kumbadilisha kuendana na unavyotaka awe maana ni ngumu mno..
Jamani mapenzi ni matamu acheni mchezo, unahisi kama unaishi peponi si peponi, kama hutakaa ufe vile.
Ila cha muhimu ni kuchagua mwenza mnayeona mambo katika mwanga mmoja, na si kwamba hamgombani. Mnagombana hadi mnarushiana mashati nje, lakini raha mnayopena inakuwa kubwa kuliko maumivu mnayopeana.
Kama watu mna mitizamo tofauti saaana ya maisha hata kubadilishana inashindikana, kwanza inatia uvivu.
Unamwambia mtu A wakati yeye yuko Q, haelewi haelewi, bora ujikalie kimya tu.
kumbadilisha mtu uliemkuta na meno yake 32 net na ya ziada juu ni ngumu sana my dear...Hapo ndio tunapokosea, hata kumbadilisha mtu inakuwa ngumu
Mmoja akiwa black, angalau mwenzie awe dark grey
nakubaliana nawe 1oo%
ni viziri kujua mipaka ya mapenzi yenu kama ni kula bata au till death do us apart lasivyo nikuchezeana hisia,
pia kukubaliana na mapungufu ya mwenzio yeyote yatakayojitokeza safari ya mapenzi ina chamgamoto nyingi yaitaji uvumilizu busara na akili ilokomaa
kweli.....ni vizuri kujiangalia na maisha yako pia...sure, kukurupuka kubaya sana. halafu hii ipo kwa dadaz. sijui vile tunaona umri unaenda!
tatizo hamuwajibiki hadi mpigwe mizinga, kuwa na moyo wa kutoa uone kama utapigwa hiyo mizinga. lol
kumbadilisha mtu uliemkuta na meno yake 32 net na ya ziada juu ni ngumu sana my dear...
besides sio lazima awe unavotaka saaaana.....
kweli.....ni vizuri kujiangalia na maisha yako pia...
Kupiga mizinga noma jamani inakera kha!
Jamani kuhongwa kipaji
Kuna wanamme wanajua kuhonga hadi mhongwaji unaumwa, huombi hata senti ila anakuingiza kwenye payroll moja kwa moja. Uwe una shida ama huna shida fungu lako liko pale pale.
Hiki kifungu kilinifanya nipigwe kibuti hivi hivi na lazizi wangu kosa kubwa ni kuachia mashuzi usiku yenye harufu kali
hahaaaa umenichekeshaje maana nikipatia pozi la ushuz wenye harufu kali LOL
Jamani kuhongwa kipaji
Kuna wanamme wanajua kuhonga hadi mhongwaji unaumwa, huombi hata senti ila anakuingiza kwenye payroll moja kwa moja. Uwe una shida ama huna shida fungu lako liko pale pale.
2.kosa katika hatua ya awali kabisa. wengi huwa hatujadili aina gani ya uhusiano tunaoutaka. wakati mwingine anafikiria mambo ya "mpaka kifo kitutenganishe" kumbe mwenza wake anafikiria kula bata tu. ni vizuri kujadili mapema kuhusu aina ya mahusiano yenu.
Mi naona kuhonga mwanamke ni rushwa kama rushwa nyingine, unamhonga ili iweje aaah upate kei sasa jamaa akichomeka na kumaliza fasta kwa nini mwanamke unalalamika wakati jamaa amekuhonga na amesha kata kiu yake yaani kalipia huduma
basi bora tuseme kumuhudumia mpenzi wako maana neno kuhonga limekaa vibaya.
hata nyie mnafaidi sema indirectly. lol