sasa mtu mmekutana ukbwani utawezea wapi kummold?. siku zote mabadiliko huanzia ndani ya mtu mwenyewe labda kupiga goti sana mungu ambadilishe vingevyo ni kuyakubali tu madhaifu yake na ili maisha yasonge mbele vinginevyo uchape lapa umuachie majeraha ya moyo.WE SHOULDN'T GET IT TWISTED LOVE IS A BEAUTIFUL THING INDEED!!!!!!!!!!!!
Mi naona Fates and Privileges are entirely to blame!!!!!!!! YES! 100%
Watu vichecheee wanapataga watu waliotulia!!!!!!!! Mtu kavuruga jiji zima, anakuja kuolewa na mtu decent mpaka mnashangaaa! Mxiuuuuuuuuuu!
Unajituliza wewe,gundu la mibomu halikuishi! Hahahaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!! Yote maisha lakini!!!!!!!!!!!
But there is the men myth!!!!!! A man is not how you found him, rather how you mold him to your liking!!!!!!! Sasa hii hardwork ya turning Bozo's to good loving and ofcourse generous men we all like ndo wengi wetu mimi no 1 hatuipendi kabisaaaaaaa! Kuhonga amfundishe mwingine, kuchuna tuchune sie! Si Majangaa hayo!
WE SHOULDN'T GET IT TWISTED LOVE IS A BEAUTIFUL THING INDEED!!!!!!!!!!!!
Mi naona Fates and Privileges are entirely to blame!!!!!!!! YES! 100%
Watu vichecheee wanapataga watu waliotulia!!!!!!!! Mtu kavuruga jiji zima, anakuja kuolewa na mtu decent mpaka mnashangaaa! Mxiuuuuuuuuuu!
Unajituliza wewe,gundu la mibomu halikuishi! Hahahaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!! Yote maisha lakini!!!!!!!!!!!
But there is the men myth!!!!!! A man is not how you found him, rather how you mold him to your liking!!!!!!! Sasa hii hardwork ya turning Bozo's to good loving and ofcourse generous men we all like ndo wengi wetu mimi no 1 hatuipendi kabisaaaaaaa! Kuhonga amfundishe mwingine, kuchuna tuchune sie! Si Majangaa hayo!
sasa mtu mmekutana ukbwani utawezea wapi kummold?. siku zote mabadiliko huanzia ndani ya mtu mwenyewe labda kupiga goti sana mungu ambadilishe vingevyo ni kuyakubali tu madhaifu yake na ili maisha yasonge mbele vinginevyo uchape lapa umuachie majeraha ya moyo.
2.kosa katika hatua ya awali kabisa. wengi huwa hatujadili aina gani ya uhusiano tunaoutaka. wakati mwingine anafikiria mambo ya "mpaka kifo kitutenganishe" kumbe mwenza wake anafikiria kula bata tu. ni vizuri kujadili mapema kuhusu aina ya mahusiano yenu.
Ha ha ha tatizo waliotulia ni lack of opportunity,,, vicheche wanakuwa na sifa za ziada za kumfanya decent man aingie line...
sisalimii maana maneno yatakuwa mengi! lol
wapenzi wa mmu, leo naomba tujadili ni wapi tunakosea katika mahusiano. watu wengi wamekuwa hawafurahii mahusiano, wakati wanaume wanatuona wanawake tupo kama mafisi tunajali maslahi zaidi na sie tunawaona wao kama manyani kudandia kila mwanamke. tunakosea wapi? binafsi naona kuna mambo tunakosea katika kuanzisha na kuendeleza mahusiano.
1. tunakosea katika kuchagua mpenzi sahihi.
ni ukweli ulio wazi kuwa kila mtu ana vigezo vya mpenzi anaependa awe nae. inapotokea mtu amekuwa single muda mrefu hujikuta ameanzisha mahusiano na mtu hata kama hana vigezo alivyokuwa anaviwaza awali. wakati upo kwenye mahusiano sasa antokea mtu mwenye vigezo vyote ulivyovitaka na hapo ndipo usaliti huanza. a nashauri utulie na utampata yule umfikiriae hata kama itakuwa muda mrefu kiasi gani, jitulize na epuka kufanya hili kosa.
2.kosa katika hatua ya awali kabisa. wengi huwa hatujadili aina gani ya uhusiano tunaoutaka. wakati mwingine anafikiria mambo ya "mpaka kifo kitutenganishe" kumbe mwenza wake anafikiria kula bata tu. ni vizuri kujadili mapema kuhusu aina ya mahusiano yenu.
3. tunakosea tunapotaka wenzi ambao wapo perfect katika kila kitu wakati tunajua hakuna mkamilfu. unapokuwa katika mahusiano ni vizuri kuyakubali na kuyavumilia mapungufu ya mwenzi wako badala ya kufikiria kumbadilisha kuendana na unavyotaka awe maana ni ngumu mno..
4.tunaposhindwa kuwa na muda na wapenzi wetu pia tunakosea.si ajabu kuona mtu anaspend muda mwingi na marafiki kuliko mpenzi wake ambae ni mtu wake wa karibu zaidi. waweza kuona ni kawaida lakini kadri tunavyojiweka mbali na wenzi wetu tunazidi kuchujisha penzi.
hayo ni baadhi ya tunayoyakosea, nakaribisha wana mmu tujadili wapi pengine tunakosea kwa pande zote mbili ke na me.
ushauri wa bure:
ruhusu moyo wako kupenda bila kujali umetendwa mara ngapi maana katika kila mahusiano unayoumizwa ni changamoto ya kukufanya uwe imara katika mahusiano yako yajayo.
nakubaliana nawe 1oo%
ni viziri kujua mipaka ya mapenzi yenu kama ni kula bata au till death do us apart lasivyo nikuchezeana hisia,
pia kukubaliana na mapungufu ya mwenzio yeyote yatakayojitokeza safari ya mapenzi ina chamgamoto nyingi yaitaji uvumilizu busara na akili ilokomaa
Njaa na maisha magumu inatibua sana maisha ya ndoa za kibongo na kiafrika kwa ujumla.
Scale ya njaa ninayoizungumzia ni ile hali ya kukosa kitu katika muda muafaka kutokana na ufinyu wa bajeti.
Mfano;unakuta mtu anatamani kuwa na pic nik na mwenzie ila ndo vile hela hamna,au miaka inakatika mpz hajawahi kumnunulia zawadi ambayo inaweza ki activate mapenz lakini wapi so mwisho wa siku image ya mpenzi inaanza kubadirika kichwani kwako kutoka cute baby to nyani.
Lingine ni swala la kujiringanisha maisha na wapendanao wengine kunafany mjione nyie mnaigiza wale ndo wanayaishi mapenzi hapa napo vurugu za kimpenzi hutokea.
Na mwisho ni kwamba ILI MAPENZI YAWE MATAMU AKILI ZA LAZIMA IWEKEZWE KWENYE PENZI LA SIVYO KILA SIKU WABONGO TUTAKUA TUNALIZWA N MAPENZI BILA KUMJUA MCHAWI WETU.
umeona eeeh kuna mtu mwingine chemistry yenu inamatch kitandani na moyoni tu huko kwingine hakuna kwako red yeye ni black whiye ni green yaani ......bora tu upige kimya mshare kilichowezekana period!Jamani mapenzi ni matamu acheni mchezo, unahisi kama unaishi peponi si peponi, kama hutakaa ufe vile.
Ila cha muhimu ni kuchagua mwenza mnayeona mambo katika mwanga mmoja, na si kwamba hamgombani. Mnagombana hadi mnarushiana mashati nje, lakini raha mnayopena inakuwa kubwa kuliko maumivu mnayopeana.
Kama watu mna mitizamo tofauti saaana ya maisha hata kubadilishana inashindikana, kwanza inatia uvivu.
Unamwambia mtu A wakati yeye yuko Q, haelewi haelewi, bora ujikalie kimya tu.
malengo hebu funguka basi mpendwa,..