Wapi tattoo wanachora

che wa Tz

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
277
71
Wadau habari zenu........naweza kupata wapi wachoraji wa tattoo kwa dar es salaam au stika zile za temporary tattoo zinauzwa wapi. Nawasilisha wadau
 
Mkuu wewe wa kike au wakiume? wale wanawake wapemba huwa wanachora kwenye masalon ya kike.
ie wewe wataka za kudumu au za mda? mi kuna mshikaji wangu anaitwa Tizzo anakaa keko machungwa. hana ofisi maalum, ukimuhitaji unampigia simu. Mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom