Wapi tapata mwanamke ya mwendokasi?? Au haiko?

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,488
Kila kitu sasa iko mwendokasi. Gari ya mwendokasi, simu ya mwendokasi, bangi ya mwendokasi, viatu ya mwendokasi, elimu ya mwendokasi, bia ya mwendokasi, treni ya mwendokasi, sasa wapi ntapata mwanamke ya mwendokasi?
 
Kanisani
 
Back
Top Bottom